Tuesday, February 14, 2012

VALENTINE DAY 2012

Siku ya wapendanao ni sikukuu ambayo huadhimishwa kila ifikapo tarehe 14 Februari ya kila mwaka (Valentine Day).

Historia yake imeanzia karne ya 3 huko Roma ambapo alikuwapo mtakatifu valentine au Valentinus. Kaisari wakati huo alikuwa Claudius II yeye aliona kuwa askari mkakamavu na bora zaidi ni yule asiyeoa wala kuwa na familia (kapera). Hivyo alipiga marufuku ndoa kwa askari. Mtakatifu Valentinus alipinga jambo hili hivyo kuendelea kufungisha ndoa kwa siri. Mfalme Claudius alipopata habari hizi aliamuru kukamatwa kwa Valentinus na kuuwawa.

Kuna hadithi ya kuwa akiwa gerezani mtakatifu Valentinus aliandika barua ambayo ilikuwa na salamu za kwanza za valentine kwa binti aliyekuja kumsalimia gerezani, mwisho wa barua alihitimisha kwa maneno haya (From your Valentine). Toka hapa valentine anakumbukwa kama mtetezi wawapendanao na siku hii kuadhimishwa kote duniani.

To the one who owns this heart of mine
Comes this lovely wish dear valentine
That you'll feel special all day through
Because I think the world of you!


It's Valentines Day,
The day about love.
The angels are singing,
Loud up above.

Will you be my angel,
Want to be mine?
I love you so much,
You're my Valentine!
You're the syrup on my pancakes
You're the sugar in my tea
You're the icing on my cupcakes
You're the sweets in life for me

You're the chocolate on my ice cream
You're the sweet grapes in my wine
You're everything I love in life
Will you be my Valentine?