Saturday, April 20, 2013

SAMAHANI SANA WAPENDWA

Wapendwa wasomaji wangu. Samahani sana kuwa sikuweza kuchapisha makala kwenye mtandao huu kama ilivyo kawaida. Hali ya mambo haikuwa shwari sana. Hata hivyo tunaahidi kuwaletea tena makala moto moto. TUNAKUJA.

LOVE QUOTES

Finding love
is like finding one answer
to all of your prayers.

You know you've found love
when you look in their eyes
and find yourself.

SPECIAL LOVE QUOTES

If you have love, you don't need to have anything else. If you don't have it, it doesn't matter much what else you have. With love "YATOSHA"

Friday, April 12, 2013

MWANAMKE KUCHA JAMANI!

Jamani angalieni hizi kucha zilivyorembeshwa zikarembeka!Huu ndiyo urembo. Siyo mwanamke kucha zinakuwa kama za mwanaume! Utapendwaje na kucha za kiume!