Powered By Blogger

Monday, February 7, 2011

YANGA VS CCM

Kwa wale vijana wa siku hizi, hii ndiyo moja ya sababu miaka ya 1980 na 1990 Yanga ilikuwa inashingilia CCM, CCM, CCM pale INAPOFUNGA goli. Miaka ya karibuni ukisikia CCM, CCM  ujue Yanga IMEFUNGWA.! Ndiyo mambo ya mjini.

No comments:

Post a Comment