HEBU SOMA STORY YA HUYU DADA.
Story nimeipata jamiiforums. watu wengi wamechangia kwa mitazamo tofauti. Wewe unasemaje?
NATAMANI KUJIUA:
Habari zenu wana Jamii Forum. Mimi ni mgeni humu. Ila si mgeni ki hivyo nimekuwa natembelea bila kuwa member. Nimeamua kujiunga ili nipate kushauriwa kwani shida niliyonayo siwezi kushare na mtu ninaye mjua.Mimi ni mdada wa miaka 32. Ni mrembo sana yaani wale mnaoita 8 figure. Sijisifii ila hilo nimeona nilitamke ili muweze kuielewa vizuri mada yangu.
Nilitokea kumpenda sana kijana mmoja na kuja kugundua baada ya miezi miwili kuwa ni mume wa mtu. Kaka ni muislamu hivyo havai pete na kwa kuwa ni kijana sikuweza kudhania kuwa ni mume wa mtu na kwa kweli ningejua nisinge mpa moyo wangu.
Tatizo niligundua kuwa kaoa wakati nimeshampenda. Na ni yeye mwenyewe alinitamkia kuwa nina mke baada ya kujua sitaweza kumwacha kwani nilikuwa nimekolea. Tumekaa kwenye uhusiano kwa muda wa mwaka na nusu sasa mpaka pale mkewe alipokuja kugundua. Mimi mkewe nilikuwa nimeshamjua. Ni mdada msomi na ana kazi nzuri sana ila ni wa kawaida na aniingii hata nusu kwa uzuri kwa hiyo nilijua tu kuwa mumewe atakuwa ananipenda mimi zaidi na labda kuna siku nitakuwa mke wa pili kwani ni muislamu.

Tatizo limeanza miezi miwili iliyopita. Jamaa alinipigia simu akanambia mkewe amejua kuwa tuna uhusiano, kwa hiyo mimi na yeye basi kwani hataki kuvunja ndoa yake. Nimeumia sana imagine mwaka na nusu na nimeshampenda sana. Nimejitahidi kumfuata ofisini kwao secretary wake ananambia jamaa kasafiri wakati gari naliona nje ya ofisi. Nimempigia simu simpati naona amebadili namba. Hivi kweli wanaume mnaweza kuwa wakatili hivi? Kibaya zaidi mkewe kutwa ananipigia simu na kunitisha kuwa atanifukuzisha kazi. Mimi sijali kufukuzwa kazi kwani ninampenda sana huyo mwanaume.
Nishaurini nifanyeje kwa wale wenye uzoefu wa kuwa vimada na wale wenye nyumba ndogo. Msinitukane jamani. Mimi sijawahi maishani mwangu kutembea na mume wa mtu zaidi ya huyu na sikuwahi kuwaza kuwa yatanikuta. Hivi nyie wanawake wa kwenye ndoa uwa mnawaroga wame zenu? Iweje mtu niliyekuwa nampagawisha the other day leo aseme sitaki kukuona tena kisa tu mkewe kajua? Na huyu mkewe nimfanyeje aache kunifuata fuata. Maana amekuwa ananipa vitisho kila kukicha mpaka nahofia uhai wangu. Mumewe mwenyewe kesha niacha na yeye bado analeta mikwara wakati nikimwangalia hata ngumi moja namuua.
MAONI YANGU:
Pole sana dada yangu. Ni kweli kuwa mambo mengi yametokea kwako mazuri na mabaya. Kwanza naomba nikutoe hofu kuwa ulikuwa umefanya kosa kupendana na huyo jamaa. your were just right. Ulimpenda kama vile ambayo ungempenda mwanaume mwingine yeyote. kwanza hukujua kama ameoa hivyo siyo kosa lako.
Pili huyo bwana pia yuko right kukuacha kwa kuwa mambo kama haya yanapofichuka huwa yana pressure sana hivyo kuendelea nawe angeendelea bila kuwa na raha yoyote. Kumbuka kuwa huyo mkewe sasa anaweza kuwa anamfuatilia mumewe pia hivyo kuna uwezekano wa kufumaniwa ambayo huyo ni aibu kubwa sana kwenye maisha ya Kiafrika.
Tatu: Unapaswa kujaribu kuondoa mawazo yako kwa huyo bwana. Futa kabisa usimuwaze kabisa. Hili najua ni gumu kwa kuwa moyo na penzi lenu lilifika mbali sana. JITAHIDI umuondoe kwenye mawazo yako na utafanikiwa. Tahadhari sana usitumie kilevi kama pombe au sigara au madawa kama njia ya kumsahau huyo bwana. Tumia njia ya kawaida tu na utafanikiwa. Jaribu pia kutumia muda mwingi sana ofisini kwa KULIKO KAWAIDA na utaona mafanikio yake.
KUMBUKA: Watu wengi wanaoachwa hujitahidi kuoa, kuolewa KWA HARAKA SANA. Hilo ni moja ya makosa makubwa katika maisha. Kwa sasa jaribu kujizuia usipate mwanaume mwingine ile roho yako itulie na machungu yote yapungue. Ukipata mwingine harakaharaka kuna uwezekano mkubwa wa kuachana harakaharaka pia.

USIJIUE. Maisha bado ni marefu, na matamu bila huyo bwana. Kwanza nashukuru kuwa wewe ni mrembo sana (ingawa sijakuona) na pia unajua kupagawisha kama ulivyosema mwanzo. USIJIUE tulia utapata bwana mzuri, mwema, wako 100% na utafurahia maisha siku zote za maisha yako. TULIA, VUMILIA NA BAADAYE UTAFURAHIA MAISHA UPYA KABISA. Enjoy.

Sikuwahi kuamini kuwa jambo kama hili lingeweza kunitokea hadi pale ndoa yangu ilipokaribia kuvunjika kabisa.
ReplyDeleteMume wangu alibadilika ghafla. Mwanaume aliyenipenda na kunijali hapo awali alianza kuwa baridi, mbali nami kihisia, na mwenye hasira bila sababu yoyote. Aliacha kuonyesha nia katika ndoa yetu, akaniepuka kabisa, na hatimaye kuniomba talaka. Nilivunjika moyo sana kwa sababu nilimpenda mume wangu kwa dhati na kwa moyo wangu wote.
Mambo yalizidi kuwa mabaya zaidi aliponizuia (block) kwenye mitandao yote ya kijamii — WhatsApp, Facebook, Instagram — kana kwamba sikuwahi kuwepo. Nililia kila usiku nikijiuliza ni wapi nilikosea.
Siku moja, rafiki yangu wa karibu alinitembelea na kunikutanisha na mtu mwenye uwezo wa kiroho anayeitwa Dkt. Dawn. Kwa kweli, mwanzoni nilikuwa na mashaka, lakini niliamua kumweleza kila kitu kwa sababu sikuwa na cha kupoteza tena.
Dkt. Dawn alifanya uchunguzi wa kiroho kunihusu, na nilishangazwa sana. Alifichua siri kuhusu ndoa yangu na maisha yangu binafsi ambazo hakuna mtu mwingine alizijua. Kila kitu alichosema kilikuwa sahihi kwa asilimia 100.
Kisha alifichua kuwa mwanamke mwingine alikuwa amemwekea mume wangu uchawi. Mwanamke huyo alikuwa akimtembelea mara kwa mara, na mimi kwa ujinga wangu nilidhani ilikuwa ni mambo ya kazi tu.
Dkt. Dawn alinisaidia kuvunja uchawi huo na kufanya ibada yenye nguvu ya kurejesha upendo katika ndoa yangu.
Cha kushangaza zaidi, muda mfupi baadaye, mume wangu mwenyewe aliondoa uzuiaji (unblock) na kuanza kunipigia simu na kutuma ujumbe mwingi, akiniomba msamaha na kunitaka nirudi nyumbani. Mwanzoni nilimpuuza kutokana na maumivu aliyonisababishia, lakini hatimaye alirudi nyumbani akiwa na zawadi na machozi machoni mwake, akiomba nafasi nyingine.
Leo, ndoa yetu ina nguvu, furaha, na amani zaidi kuliko hapo awali. Upendo kati yetu unahisiwa kuwa mpya kabisa.
Kana kwamba hiyo haitoshi, baadaye Dkt. Dawn alinisaidia kwa ibada ya uzazi kwa sababu tulikuwa tumepambana kwa miaka mingi kupata watoto. Ndani ya wiki 8, nilipata ujauzito kiasili, na leo tumebarikiwa kupata watoto wawili wa kiume wenye afya njema na sura nzuri.
Nitabaki na shukrani milele.
Ikiwa unahitaji: Uchawi wa upendo ili kurudiana na mpenzi wako wa zamani
. Msaada wa kurejesha ndoa
. Ibada za uzazi ili kupata ujauzito
. Msaada wa kiroho kwa kesi mahakamani au kurejesha urithi
. Mwongozo na ulinzi wa kiroho
Ninapendekeza sana huduma za Dkt. Dawn. Ushuhuda wangu ni wa kweli, na furaha yangu ya leo ni uthibitisho.
Wasiliana naye kupitia WhatsApp ikiwa unahitaji msaada wowote kati ya hii. WhatsApp yake: +2349046229159
dawnacuna314@gmail.com