Wapiganaji wa ukombozi wa Libya wameingia mjini Tripoli na jambo la kushangaza ni kuwa wameingia bila kupata upinzani mkubwa. Mpaka sasa watoto wa Gadafi wamekamatwa ingawa pia kuna taarifa ZISIZOTHIBITISHWA kuwa Gadaffi mwenyewe amekamatwa.

Super Comrade Gadaffi

Comrade Gadafi na poz za kukata tamaa au kutafakari?

Mashabiki wa Baraza la mpito wakiwa mjini Benghazi

Moja ya watoto wa Gaddafi

Wazee wa kazi wakiwa mjini Tripoli




Sherehe za ushindi zimeanza


No comments:
Post a Comment