Powered By Blogger

Tuesday, April 12, 2011

unene ni tatizo katika mapenzi, Unajua?

Unene wa kupindukia ni moja ya matatizo makubwa sana katika mapenzi na ndoa. Angalia picha hizi na utakubaliana nami. Fikiria leo namna ya kujiepusha na unene wa kupindukia, anza leo chukua hatua. Wataalam wengi wametuelimisha jinsi ya kujiepusha na unene. Vyakula na hali ya kutofanya mazoezi ni vyanzo vikubwa vya unene wa kupindukia. Chunga sana, chukua hatua sasa!









Wivu katka mapenzi

 Wanasaikolojia ya Uhusiano na Mapenzi wanaeleza kuwa, wivu katika mapenzi una umuhimu wake lakini pia wanadai kuwa wivu ukizidi huweza kuharibu kama sio kuvunja kabisa uhusinao. Hata katika mitaa tunayoishi naamini kuwa unaweza ukawa umesikia matukio kadha wa kadha yanayosababishwa na wapenzi baada ya kuoneana wivu.

Katika hili kuna ukweli ndani yake, unajua unapopenda kitu lazima ukionee wivu, hutapenda kuona kama kuna mtu anayekuingilia katika kitu chako.
Maana halisi ya mapenzi ya kweli ni yale ambayo hutegemei kuachana na mpenzi wako katika siku zote za maisha yako. Hii humaanisha kuwa ndoto zako juu ya mpenzi wako ni ndoa na sio vinginevyo, sasa kama ukihisi kuna mtu anayekuingilia lazima uwe na wivu.
stock photo : Loving couple embracing
“Siku nikimkuta mpenzi wangu yupo na mwanamke chumbani sijui itakuwaje? Lakini lazima nimkomeshe huyo mwanamke aliyenaye kwanza, siwezi kuibiwa nikiona!” Hayo ni maneno ya dada mmoja anayefanya kazi katika Salon moja ya kiume iliyopo Kariakoo, baada ya kuzungumza nami hivi karibuni.
stock photo : Attractive African American Man, Woman and Child posing in the park.
Katika kauli yake nilijifunza kitu muhimu sana, yaani alimaanisha kuwa hata kama angewakuta wapo katika hali ya kawaida lazima angesababisha mtafaruku kwa kuwa amewakuta chumbani. Hii ni aina mbaya ya wivu, kwa sababu unawza ukasababisha madhara makubwa, lakini baada ya kuwa umeshasababisha madhara hayo ndiyo unaanza kujutia baada ya kusababisha madhara makubwa.

WIVU KIPIMO CHA MAPENZI

Mapenzi ya kweli huanzia kwenye wivu, lazima umwonee mpenzi wako wivu! Kamka una mpenzi wako halafu hakuonei wivu anza kumchungumza vizuri, huenda akawa ahana mapenzi ya kweli kwako japokuwa jambo hili linategemeana. Unapoonyesha unamwonea wivu mpenzi wako, unakuwa unaonyesha thamani ya mapenzi yake kwko.

Yaani unaonyesha ni jinsi gain ambavyo maisha yako hayawezi kukamilika bila yeye, ukimwona yupo katika mazingira ‘tata’ haraka unamhoji ili akupe ukweli. Mpenzi wako atakapopgundua kuwa una wivu naye, ni wazi kuwa ataongeza mapenzi kwako na kama aalikuwa hana ‘time’ na wewe huo utakuwa wakatinwake mzuri wqa kuachia ngazi!
stock photo : A happy couple embraces each other in front of a neutral background in landscape format

Tafiti mbalimbali za wataaalamu wa Uhusiano zinaonyesha kuwa, unapomsingizia au kumzonga sana mpenzi wako kuwa amefanya jambo fulani baya hasa la usaliti, unamweka klatika ushawishi wa kufanya jambo hilo ili kuaendana sawa na tuhuma unazompa.
stock photo : young happy african american couple watching TV on sofa
Siku zote fanya uchunguzi kabla ya kuafanya uamuzi wa jambo lolote kwa mwandani wako. Ninapozungumzia suala la wivu, sina maana kuwa ni wanawake peke yao bali hata wanaume nao huingia katika mkubo huo wa wivu.
stock photo : Young happy couple embracing in an empty house
Mpende sana mpenzi wako, lakini usizidishe wivu juu yake. Onyesha kuwa unampenda na kumjali, onyesha unavyojisikia vibaya ukiibiwa penzi lako lakini kamwe usimtuhumu mwandani wako katika jambo ambalo bado hujalifanyia utafiti wa kutosha.
 
Source: imeazimwa
 
WIVU UNAPOZIDI…
Hapo sasa ndio mwanzo wa matatizo! Ni kweli unampenda mpenzi wako lakini usizidishe wivu kwake. Unapozidisha wivu hata ladha ya mapenzi hupungua, anatambua kuwa unampenda lakini utakapoanza kumchunga sana, inakuwa kero.
“Nishakuzoea kila siku unanijia nyumbani usiku, unatoka kwa wanawake zako huko ndio unakuja kwangu, sawa tu!” Kauli kama hii sio muafaka kwa mwandani wako. Una uhakika gain kuwa mumeo ametokea kwa wanawake? Acha papara, kaa nay echini zungumza naye kwa sauti nzuri, tumia hekima yako naamini atakuambia ukweli amewtoka wapi.

SPORTS AND GAME, GOSSIPS AND TRANSFERS (Tuesday)

TRANSFER GOSSIP
Manchester City have held preliminary talks to sign veteran Dutch midfielder Clarence Seedorf when his contract with AC Milan expires at the end of the season.
Inter Milan may be prepared to use Netherlands playmaker Wesley Sneijder as bait in a bid to lure Nani from Manchester United.
Full story: Metro
Liverpool have already agreed a deal to sign Newcastle left-back Jose Enrique for £15m at the end of the season. The news was revealed by former Reds assistant boss Phil Thompson during an appearance as a pundit on Norwegian television.
Full story: Daily Mail
Arsenal are planning to make a bid for £15m-rated Rennes midfielder Yann M'Vila at the end of the season.
Full story: Talksport
Blackburn are prepared to offload out-of-favour Croatian striker Nikola Kalinic in the summer.
Full story: Daily Mirror
OTHER GOSSIP
Former Liverpool boss Rafael Benitez could be set for a return to management with Atletico Madrid as a replacement for Quiqui Sanchez Flores, who is out of contract at the end of the season.
Full story: Talksport
Arsenal team-mates Robin van Persie and Abou Diaby were involved in a dressing-room bust-up at half-time during the Gunners' 3-1 win over Blackpool on Sunday.

Chelsea Are Obsessed

Ahead of the second leg of his side's Champions League quarter-final decider against Chelsea, Manchester United boss Sir Alex Ferguson has said that the Stamford Bridge outfit are 'obsessed' with the European trophy, with that being the main reason behind signing Fernando Torres...

Carroll At The Double

Andy Carroll scored his first goals for Liverpool in a convincing 3-0 win over rivals Manchester City, as the Reds continue to stake a claim for a place in Europe next season. The £35 million winter signing's brace sandwiched a goal from Kuyt, with the match being decided in the first-half...

I Dream Of Ronnie

AC Milan supremo Silvio Berlusconi continues to hint at his ambition to sign Real Madrid superstar Cristiano Ronaldo. The Italian suggested that 'dreams sometimes turn into reality' and explained that the club will sign 'one or two' champions in the summer if they win the title...

First Shakhtar, Then Madrid

Barcelona boss Pep Guardiola has insisted their 5-1 first leg lead over Shakhtar Donetsk is not a permit to look forward to the weekend's Clasico clash against arch-rivals Real Madrid. The former midfielder claims the job against the Ukrainians is not done yet...

Ibra Gets Three-Match Ban

Milan striker Zlatan Ibrahimovic is set to miss the majority of the Rossoneri's title run-in after being handed a three-match ban for insulting an official during his team's clash against Fiorentina. Serie A table-toppers Milan, however, have confirmed that they will appeal the decision...

The Wall Is Rebuilt

After a five-month absence from the squad following surgery to a cruciate ligament in his left knee, Inter defender Walter Samuel has returned to the fore. Coach Leonardo has selected the Argentine as part of the 22-man list to face Schalke, although it is unlikely that he will make the starting XI

SPECIAL EDITION: GBAGBO AKAMATWA (VIDEO NA HISTORIA)

Ivory Coast: Laurent Gbagbo captured by French special forces, rival claims

French special forces have captured Ivory Coast dictator Laurent Gbagbo and handed him over to rebel forces following a fierce battle today, a spokeswoman for presidential rival Alassane Ouattara has claimed.

Kiongozi wa Ivory Coast Laurent Gbagbo ametiwa kizuizini mjini Abidjan na kuwekwa chini ya ulinzi wa polisi wa Umoja wa Mataifa.
Alikamatwa wakati majeshi ya kiongozi anayetambulika kimataifa kuwa Rais wa nchi hiyo Alassane Ouattara na vifaru vya Ufaransa kuingia kwenye makazi yake.
Bw Gbagbo alikuwa akikataa kukabidhi madaraka, akisema alishinda uchaguzi wa Rais wa mwezi Novemba.

HISTORIA YA GBAGBO
Laurent Gbagbo alikuwa Rais wa Ivory Coast kwa muongo mmoja. Aliingia madarakani baada ya kufanyika kwa uchaguzi wenye utata ambapo aliponea chupuchupu njama za kumpindua na vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo..............
born 31 May 1945) is an Ivorian politician. He served as the fourth President of Côte d'Ivoire from 2000 until his 11 April 2011 arrest by forces loyal to opposition candidate and President-elect Alassane Ouattara.[3]
A history teacher by profession, Gbagbo was one of the primary opponents of President Félix Houphouët-Boigny. He founded the Ivorian Popular Front (FPI) in 1982 and unsuccessfully ran for President against Houphouët-Boigny at the start of multi-party politics in 1990. When Robert Guéï, heading a military junta, barred other leading politicians from running against him in the October 2000 presidential election, Gbagbo claimed victory after the election and his supporters took to the streets, toppling Guéï; Gbagbo was installed as President.

Following the 2010 presidential election, Gbagbo refused to stand down and annulled results from nine of the country's regions. Alassane Ouattara won the vote and was recognized the winner, by election observers, the international community, the African Union (UA), and the Economic Community of West African States of which Côte d'Ivoire is currently a suspended member.
Gbagbo was born in the village of Mama, near Gagnoa. He became a history professor and an opponent of the regime of President Félix Houphouët-Boigny. He was imprisoned from 31 March 1971 to January 1973. In 1979, he obtained his doctorate at Paris Diderot University (French: Université Paris Diderot, also known as Université Paris 7 - Denis Diderot). In 1980, he became Director of the Institute of History, Art, and African Archeology at the University of Abidjan. He participated in a 1982 teachers' strike as a member of the National Trade Union of Research and Higher Education, and at this time he formed what would become the Ivorian Popular Front (FPI). Gbagbo went into exile in France in the same year. He returned to Côte d'Ivoire on 13 September 1988 and at the FPI's constitutive congress, held on 19–20 November 1988, he was elected as the party's Secretary-General.
Gbagbo said in July 2008 that he had received crucial support from Blaise Compaoré, currently the President of Burkina Faso, while he was part of the underground opposition to Houphouët-Boigny.

Following the introduction of multiparty politics in 1990, Gbagbo was the only candidate to stand against Houphouët-Boigny in the October 1990 presidential election, receiving 18.3% of the vote against Houphouët-Boigny. In the November 1990 parliamentary election, Gbagbo won a seat in the National Assembly, along with eight other members of the FPI; Gbagbo was elected to a seat from Ouragahio District in Gagnoa Department and was President of the FPI Parliamentary Group from 1990 to 1995. In 1992 he was sentenced to two years in prison, charged with inciting violence, but was released later in the year. The FPI boycotted the 1995 presidential election. In 1996, Gbagbo was re-elected to his seat in the National Assembly from Ouragahio, following a delay in the holding of the election there, and in the same year he was elected as President of the FPI.

At the FPI's 3rd Ordinary Congress on 9–11 July 1999, Gbagbo was chosen as the FPI's candidate for the October 2000 presidential election. That election took place after a December 1999 coup in which Robert Guéï took power. Guéï refused to allow Alassane Ouattara or Bedie to run, leaving Gbagbo as the only significant opposition candidate. Guéï claimed victory in the election, held on 22 October 2000, but Gbagbo toppled Guéï, who fled the capital. Gbagbo installed himself as President on 26 October. Gbagbo is roundly accused by Ivoirians and the international community, with his wife Simone, of the numerous mass killings and targeted assassinations of his opponents during the period of time leading up to and just after his taking power.

In 2010, Ivory Coast had a presidential election that saw Gbagbo face off with Alassane Ouattara. Gbagbo, whose mandate had expired in 2005, had delayed the election several times.
On 28 November 2010, the second round of the presidential election was held. Four days later the Ivory Coast Election Commission (CEI) declared Alassane Ouattara the winner with 54.1% of the vote. Gbagbo's party complained of fraud and ordered that votes from nine regions be anulled, but the claims were disputed by the Ivoirian Electoral Commission and international election observers. The Constitutional Council, headed by a staunch supporter of Gbagbo, nullified the CEI's declaration based on alleged voting fraud, and excluded votes from nine northern areas. The Constitutional Council concluded that without these votes Gbagbo won with 51% of the remaining vote. The constitutional restriction on Presidents serving more than ten years was not addressed. With a significant portion of the country's vote nullified, especially in areas where Ouattara polled well, tensions mounted in the country. Gbagbo ordered the army to close the borders and foreign news organizations were banned from broadcasting from within the country. United States Secretary of State Hillary Clinton urged the government to "act responsibly and peacefully.

In furthering his aims to divide his country from the international community and to create further ethnic tensions, Gbagbo declared that "I will continue to work with all the countries of the world, but I will never give up our sovereignty." Gbagbo committed many atrocities against regime opponents. Sporadic violence and gunfire were reported in various parts of the country, including Abidjan. Gbagbo is mainly supported by the largely Christian south; his opponents are mostly concentrated in the Muslim north.

Ouattara also took a parallel oath of office, based on an earlier pronouncement by the CEI that he won the election. The international community, including the African Union, recognized Ouattara as the duly elected president and called for Gbagbo to respect the will of the people. ECOWAS, the Economic Community of West African States, also recognized Ouattara and demanded Gbagbo cede power. Gbagbo responded by launching ethnic attacks on northerners living in Abidjan with his army made up partly of Liberian mercenaries, and rumours (unconfirmed because of restrictions on the movement of peacekeeping forces) of pro-Gbagbo death squads and mass graves have been reported to representatives of the UN. When Nigeria demanded Gbagbo step down and the EU began imposing sanctions and freezing assets, Gbagbo demanded foreign troops (by which he meant UN and French troops) leave the country.  Leaders of the Forces Nouvelles (former rebels) asserted that Gbagbo was not the Head of State and could not make such a request and also asserted that the demand was a part of a plan to commit genocide on ethnicities from the north of the country, as stated by Gbagbo's Minister of Youth and Employment.

On 6 April 2011, forces loyal to Ouattara moved to seize Gbagbo at his residence in Abidjan after failed negotiations to end the presidential succession crisis. According to Ouattara, his forces established a security perimeter at the residence, where Gbagbo has sought refuge in a subterranean level, and are waiting for him to run out of food and water.  The UN has insisted that he be arrested, judged and tried for crimes against humanity during his term and since the election of Ouattara.
On 10 April 2011, UN and French helicopters fired on heavy weapons located in Gbabgo's residency in order to prevent attacks on civilians or UN personnel. reported that Gbagbo was arrested by Ouattara forces in the afternoon of 11 April 2011 in an operation where Ouattara forces stormed Gbagbo's residence, with the support of French forces. Gbagbo is held in the Golf Hotel by Ouattara's forces, but the UN police had accepted his request of their protection.

Initial reports indicated that French special forces had made the arrest, based on declarations by a Gbagbo aide, but it was denied by the French ambassador in Ivory Coast, a French military spokesman later asserted that French forces didn't enter Gbagbo's residency. After briefing the United Nations Security Council on the situation, Alain Le Roy, UN Under-Secretary-General for Peacekeeping Operations, confirmed to reporters that Ouattara forces made the arrest.[

Monday, April 11, 2011

SPORTS AND GAME, GOSSIPS AND TRANSFERS (Monday)

Kroenke set for Arsenal takeover

Stan Kroenke is poised to launch a full takeover of Arsenal after agreeing deals to buy shares owned by Danny Fiszman and Lady Nina Bracewell Smith.
TRANSFER GOSSIP
Manchester City boss Roberto Mancini is in the race to sign Bolton's England new boy Gary Cahill - and will be the major player in a £20m auction.
Full story: Daily Mirror

A dream move to the Premier League for Darlington's teenage centre-back Dan Burn has edged closer after the highly-rated defender underwent a medical at Fulham.
Full story: Northern Echo
Chelsea have invited Uruguay's Juan Cruz Mascia to London for talks. The tall teenager is top scorer in the South American under-17 championships and is available from his club, Miramar, for around £1m.
Full story: Daily Mirror
Inter Milan boss Leonardo is hoping to lure Arsenal midfielder Samir Nasri to the San Siro, and will try to tempt Gunners boss Arsene Wenger with a bid of £31m.
Full story: caughtoffside.com
Manchester United boss Sir Alex Ferguson continues to pursue Tottenham winger Gareth Bale and is willing to offer a player-plus-cash deal.
Full story: caughtoffside.com
OTHER GOSSIP
Yossi Benayoun has backed Chelsea to salvage their season at Old Trafford on Tuesday, predicting: "If we win there we will win the Champions League."
Full story: Daily Mirror
John O'Shea cannot believe Manchester United team-mate Nani has not been nominated for the PFA player of the year award.
Full story: Press Association

Milan Hold On In Florence

Milan held on for a 2-1 win at Fiorentina to regain their three point lead at the top of the Serie A standings. Clarence Seedorf and Pato scored in the first-half, but a late goal from Juan Vargas and another sending off for Ibrahimovic made for a nervy finish...

Seven Points In It

Managing a respectable 3-1 win over Blackpool on Sunday, Arsenal move to just seven points behind Premier League leaders Manchester United, and the Gunners have a game in hand. Robin van Persie sealed the win with a late goal for the visitors, while Jens Lehmann made the starting XI...

Bayern Sack Van Gaal

Louis van Gaal has been fired as the Bayern coach just a day after the German champions were held to a 1-1 draw by Nuernberg in the Bundesliga. Reports in Germany last night had suggested that the Dutchman would be jettisoned on Sunday, and FCB have now confirmed the news…

Bayern Sack Van Gaal

Louis van Gaal has been fired as the Bayern coach just a day after the German champions were held to a 1-1 draw by Nuernberg in the Bundesliga. Reports in Germany last night had suggested that the Dutchman would be jettisoned on Sunday, and FCB have now confirmed the news…

Toni Saves Old Lady

A dramatic encounter at the Stadio Olimpico on Sunday saw Juventus move a step closer to European football after picking up three points at home to Genoa. It was a tense affair throughout, but a late Luca Toni strike made sure that the Bianconeri's European dream was kept alive...

Kaka Seeing Treble

Kaka is confident that Real Madrid can out-battle Barcelona and win all three competitions they are playing in this season. The Brazilian ace is also delighted to have scored twice against Athletic Bilbao, which keeps los Blancos in with a shout of the Spanish crown…

We Can Eliminate Schalke

Samuel Eto’o maintains that Inter have the quality to turn around their 5-2 deficit against Schalke in the Champions League and progress to the semi-finals. After an embarrassing loss at San Siro, the Italians are dreaming of a more cheerful outcome in Germany this week…

YANGA BINGWA 2011


YANGA IMARA









Friday, April 8, 2011

Video: Vurugu za Tegeta

Vurugu za tegeta
 

Tanzania ndiyo nchi ya AHADI?

Ustaa wa Bongo ni vituko?


Source: Gp

Managing finance in Marriage

Some friends of ours are newlyweds and trying to figure out how they’ll manage their money together. Finances are a hot topic for any couple, and can often lead to arguments if you don’t devise a strategy that you both feel works for you.

Money Management Styles

There isn’t one right way to manage a couple’s money. It’s largely dependent on your personalities, how you were brought up, your values, and your expectations about money.
The best way to find out what works for both of you is to have an open discussion about your money, goals, and money management styles, preferably before you get married. Try out your plan, and if it doesn’t work, make adjustments.

1. Joint Finances

This is how Scott and I manage our money. All of our earnings are combined in one account. All of our expenses are paid out of the joint account, and once money comes into our house, there is no division of who it belongs to.
We contribute to retirement plans, benefit packages, and savings by evaluating the best offer. For example, when we were saving over 50% of our salary for retirement, I took almost his entire paycheck and deposited it into his 457 and 403b plans, because they were better options than my 401k I had at work.

Tips for Success:
  • Agree on a joint budget.
  • Include spending money for each spouse in the budget.
  • Determine a threshold, and discuss purchases over that threshold.
  • Set joint savings goals.
  • If one person manages the money, have regular discussions about the status of the family finances.
  • Be open to change if it isn’t working.

2. Yours, Mine, and Ours

There are two different methods if you want to manage your money independently from your spouse, but share the joint household bills.
Even Steven. This is the college roommate style. Deposit your paychecks into separate checking accounts and share the cost of all your bills evenly. You’ll each contribute half to the mortgage, utilities, groceries, and other monthly bills. With the leftover amounts, you can save or spend as individuals on your own interests and hobbies.
Proportional Contribution. This strategy is similar to the even contribution for a couple, but works well for a couple who have vastly different salaries. You each determine what percent of income you bring into the household, and contribute that amount to the household expenses. For example, if one spouse makes TZS 80,000 and the other makes TZS 20,000, you’ll contribute 80% and 20% of the cost of the bills.

Tips for Success:
  • To ease bill paying, you may want to calculate a total contribution each month required by both of you for bills and transfer that amount to a joint account.
  • You both will need to contribute to savings and an emergency fund each month for the long term.
  • Be aware that one of you may be saving all your leftover money, and the other spending it.
  • You still need to discuss your long term goals together and plan for retirement.
  • At tax time your money will be combined on your tax return; plan for this to avoid frustration and to account for the Marriage Tax Penalty if it returns in 2011, as planned.

3. Independent Finances

You can also manage your finances separately without contributing to bills together. And it does work successfully for some couples. I watched my parents practice this method of money management all my life and it works for them. They split their bills into his and hers. For example one spouse may pay for groceries, cable, and insurance and the other spouse pays for gas, clothes, and electricity.
As long as you find a way to divide the responsibilities in a way that makes you both happy, it can work.

Other Impacts

In some cases your money management is largely influenced by where you live or who you work for. For example, we live in a community property state, so all of our income is viewed as 50/50 by law. While it doesn’t matter for your day-to-day money management, it does impact your taxes (both for filing status and eligibility as an innocent spouse), and if you ever divorce. It’s something to be aware of if it applies to you.
Another example is working for the military, which is subject to different laws. I don’t pretend to know anything about military laws, but if it applies to you, you may want to check out the Military Finance Network.

Tips for Managing Money with Your Spouse

No matter which strategy you choose, there’s bound to be bumps in the road. When that happens, keep some of these tips in mind.
Cool down. If you have a disagreement about money, try not to discuss it in the heat of the moment. Let some time pass and be prepared to discuss it when you both are calm.
Establish guidelines. Even if you decide to use one of the more independent money management strategies, you’ll still have to discuss money with your spouse. For example, if you have kids, you’ll need to agree on your plans for spending money on them. Setting up guidelines ahead of time, will avoid conflict down the road.
Give credit for good things.
When you have a disagreement about money, keep your perspective. I have to admit that 11 months out of the year, my husband is exceptional at managing money. We always discuss large purchases and he tries really hard. It’s probably a challenge for him, since personal finance isn’t an interest. I try to remind myself of this if we ever have a money matter that we don’t agree on.