Powered By Blogger

Tuesday, April 12, 2011

unene ni tatizo katika mapenzi, Unajua?

Unene wa kupindukia ni moja ya matatizo makubwa sana katika mapenzi na ndoa. Angalia picha hizi na utakubaliana nami. Fikiria leo namna ya kujiepusha na unene wa kupindukia, anza leo chukua hatua. Wataalam wengi wametuelimisha jinsi ya kujiepusha na unene. Vyakula na hali ya kutofanya mazoezi ni vyanzo vikubwa vya unene wa kupindukia. Chunga sana, chukua hatua sasa!









No comments:

Post a Comment