Friday, July 1, 2011

Funny football photos (Picha za vituko mpirani)

Mpirani kuna mambo mengi sana. Vituko na vibweka vingi sana. Kwa kuwa mpira unakwenda kasi sana mara nyingi hatuyaoni haya. Leo tunaomba ujikumbushe tu uone mambo yanavyokuwa mpirani. Furahi day.

Image
Kumbe Zidane mwoga! Anaogopa kufungwa lakini anaogopa ugumba pia!

funny_soccer.jpg
Bro mwenzi bado hajazaa huyo.


Any way mradi goli lisiingie tu.


Kama unataka vita nenda Somalia.


Bro shemeji si umemwacha home?


Ndiyo shida ya kuwa na timu kimeo!


Kumsachi mwenzako imo bwana!

football funny
Mpira na denda wapi na wapi?


Kabali pia imo!


Samba gani hilo mpaka kichwani? utaua.


Bro hapa si club ni mpirani


Bro kwani hapa ni bafuni?


Kwani nyie mmewahi kuishi Mombasa?


Yes. Kila mbaba ni handsome tu.Hata kama mpira nimeshindwa mambo ya Modeling nayaweza si unaona lipstik ilivyokolea?

No comments:

Post a Comment