Powered By Blogger

Monday, July 11, 2011

YANGA BINGWA CECAFA KAGAME CASTLE 2011

Yanga jana ilichukua kombe la CECAFA au Kame au Castle cup kwa mara ya nne baada ya kuwafunga watani wao wa jadi kwa goli 1-0 lilifungwa na Asamoah katika dakika ya 110. Mchezo ulikuwa mzuri ingawa kulikuwa na kukamiana kwingi kiasi kwamba wachezaji wawili mmoja toka kila upande waliumia na kutolewa. Mwamuzi wa mchezo alionyesha kiwango cha chini sana hasa baada ya kufanya upendeleo na maamuzi yasiyoendana na ukweli mara nyingi sana.

Yote kwa yote, tunawapongeza sana YANGA kwa kuchukua ubwingwa wa challenge kwa ngazi za club.






No comments:

Post a Comment