Powered By Blogger

Wednesday, April 27, 2011

The Big match: Barca vs Real


Leo itakuwa ni vita kwenye ligi ya mabigwa ambapo Barcelona na Real Madrid zote za Hispania zitacheza mchezo wa kwanza wa Nusu fainali za champions league. Hakuna mengi ya kuongea hapa, tukutane saa 3.45 tuone mchezo utakavyokuwa.

No comments:

Post a Comment