Powered By Blogger

Wednesday, April 13, 2011

DINNA MDOGO!

Hapa dada Dinna anaonekana kama vile ni mdogo saaaaanaaaaaaa! Ni Dina huyu au ni nduguye?


Hapa chini kama yuko tofauti kidooogo. Shavu naliona


Hapa napo siyo shavu tu ila...........................

1 comment:

  1. Ni kama kitu cha diet vile! kote kote mimi naona powa tu maana anapendeza kwa kila shape

    ReplyDelete