Powered By Blogger

Thursday, April 21, 2011

Driving is funny and crazy

Kuendesha gari huko Mumbai India siyo mchezo. Inataka uwe na mioyo mingi! siyo kamoja. Cha kushangaza ni kuwa kiwango cha ajali kule siyo kikubwa ukilinganisha na hali yao.
 
 
Ajali hazina kinga
 
 
 
Huko Iraq kuendesha gari ni vile tu unavyojisikia. Vyovyote tu.
 
 
 
 

No comments:

Post a Comment