Powered By Blogger

Monday, January 3, 2011

Mchezo wa ngumi au wa Vichwa?

Cheka vs Maugo
Boxing ni mchezo wa kutumia ngumi tu lakini hapa Francis Cheka na Mada Maugo wanaonekana pia walikuwa wanatumia na vichwa! Sheria zimebadirika? Mtakuja kuuana sasa

No comments:

Post a Comment