Powered By Blogger

Monday, January 10, 2011

Mrussi atengeneza safina

Raia wa Urusi Mhandisi Alexander Remizov ame-design chombo muundo wa safina kwa matumizi ya makazi na ofisi katika miji. Angalia picha hizi:


Safina hii itakuwa na uwezo wa kuchukuwa watu mpaka kufikia elfu kumi (10,000)! Hapa safina ikiwa inaelea kwenye maji.

hapa safina ikiwa ndani ya maji

Hii ramani au mchoro unaonyesha Safina hiyo kwa ndani (Kiuhandisi). Safina hiyo itakuwa na umeme wa kwake unatokana hasa na jua na joto la maji.

AIDS KILLS/UKIMWI UNAUA

2 comments:

  1. This can be helpful to Russians themselves as they prepare for the world cup for 2018

    ReplyDelete