Unafurahia urafiki wenu? Wakati ni huu maana hata ukikasirika huyo ni wako tu na hakuna faida unayopata.
Ni wakati wako wa kufurahia uhusiano wenu. Unamkasirikia nani? Huyo mwenza wako ni wa kumfurahia tu si vinginevyo.
Yes! usimwache, ushikwapo, shikamana.
No comments:
Post a Comment