Powered By Blogger

Thursday, December 23, 2010

Enzi hizo: NUTA Jazz Band

Hawa ndiyo NUTA Jazz band kabla ya kuitwa JUWATA, kabla ya kuitwa OTTU Jazz Band. Angalia viatu vyao. Ni laizoni tu. Bila laizoni wakati huo ulionekana hupaswi kuishi!

No comments:

Post a Comment