Powered By Blogger

Monday, December 27, 2010

Jaji mkuu mteule Chande kuapishwa leo


Rais JK anatetemea kumuapisha jaji wa Mahakama ya rufaa Jaji Mohamed Chande Othman. Taarifa za vyombo vya habari zinasema Jaji Chande atakuwa Jaji Mkuu kuanzia tarehe 28 Desemba 2010. Hongera nyingi kwake Jaji kuwa kiongozi mkuu wa tawi la sheria katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

No comments:

Post a Comment