Powered By Blogger

Wednesday, December 8, 2010

Rais Gaddafi Azindua gari la kifahari

Gari la kwanza toka Africa

Kwa wale walioangalia ITV jana waliona Rais wa Libya Muamar Gaddafi alipozindua gari hili. Inaitwa ROCKET. Kwa sura, na jinsi milango yake ilivyokuwa inafunguka, utakubali kuwa kumekucha Africa. Si haba.

No comments:

Post a Comment