Powered By Blogger

Thursday, December 16, 2010

Mamia wamzika Dr. Remmy

Wananchi wa Jiji la Dar es salaam walijitokeza kwa wingi kwenye viwanja vya Biafra Kinondoni kuuaga mwili wa Marehe Dr. Remmy Ongalla aliyefariki mwanzoni mwa wiki.


Wananchi wakiona sura ya mwisho ya marehemu Dr. Remmy

No comments:

Post a Comment