Powered By Blogger

Thursday, December 30, 2010

UWA KUBWA ZAIDI LA BIBI HARUSI (BOUQET)

Ua kubwa zaidi la Bibi harusi kuwa kutengenezwa duniani lilikuwa na urefu wa mita 60 na lilitengenezwa kwa kutumia maua 1500 ya aina ya rose. Ua hilo lilikuwa la Christa Rasanayagam  wa Canada alipooana na Arulanantham Suresh Joachim (Australia).

Harusi ilifanyika kanisa Katholiki, Mississauga, Ontario, Canada tarehe 6 September 2003.

 
 Ua lako lilikuwaje? Tumezoea ya futi moja.

No comments:

Post a Comment