Powered By Blogger

Monday, December 6, 2010

Ndoa ya kifalme Swaziland

Ndoa ya kifalme Swaziland

Huyu ndiye brother Mswati III. Handsome eehh, usipime


Hawa ndiyo wadada (wachumba?) ambao Mfalme Mswati anachagua mmoja wao kuwe mkewe. Ni mila za Kiafrika lakini wakati mwingine unona kama zimepitiliza! Lakindi ndiyo hivyo tena zinafurahisha sana NAFSI ZETU!

Siku ya harusi sasa. Bi harusi amependeza sana, si umeona?
Pick of the nation: Some of the 50,000 young, half-naked Swazi women at the annual Reed dance where Miss Dube was picked as a wife six years ago
Hapa wadada wakijimwayamwaya kwenye sherehe. Hakuna kulala

5 comments:

  1. Mzee huku unakoelekea siko... Kwanza Blog yako ina spelling mistakes nyingi. Pili ni bora ungetumia huu muda kuielimisha jamii kuhusu mambo ya muhimu zaidi kuliko hayo unatuletea hivi sasa...

    Je, huwezi kutuelimisha kuhusu mifumo ya benki na mwelekeo wa uchumi wa dunia ? Tunasikia huko Ulaya kuwa wana matatizo ya kiuchumi na sarafu. Je, wewe kama mshika dau wa sekta ya Banki, unawezaje kutuelimisha ?

    Majority of Tanzanians don't have access to the Banks. What should private and public sector do to improve on that cause ?

    ReplyDelete
  2. wadada wazuri lakini mmhhhhhh mpaka uzeeni sijui atakuwa na wake wangapi?

    ReplyDelete
  3. tuwekee picha zingine za mswati katika harakati za ndoa

    ReplyDelete
  4. nimeipenda hiyo, ni burudani kwa sana

    ReplyDelete