Powered By Blogger

Friday, November 12, 2010

ANNA MAKINDA AWA SPIKA MPYA


Mbunge wa siku nyingi Dada Anna Makinda amechaguliwa kuwa spika wa Bunge la Muunga kwa kura nyingi kama ilivyoainishwa hapa chini.
Idadi ya kura zilizopigwa = 327
Idadi ya kura zilizoharibika = 9

Mabere Marando amepata kura 53
Anna Makinda amepata kura 265

No comments:

Post a Comment