Powered By Blogger

Tuesday, November 16, 2010

MIZENGO KAYANDA PINDA WAZIRI MKUU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Mh Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Mh. Mizengo Pinda kuwa waziri Mkuu MPYA kwa kipindi cha miaka mitano ya uongozi wake. Wabunge wanategemewa kusibitisha baadaye

No comments:

Post a Comment