Powered By Blogger

Wednesday, November 24, 2010

Baraza jipya la mawaziri Bongo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametangaza baraza jipya la mawari. Orodha ya Baraza la Mawaziri na Manaibu wa Wizara za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2010 - 2015. Tunawatakia wote waliochaguliwa kazi njema.

Hongera za kipee zimwende Dr. Haji Mponda Mbunge wa Ulanga Magharibi to Kaya Kumwela.
  1. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora - Mathias Chikawe
  2. Waziri wa Nchi, Mahusiano na Uratibu - Steven Wassira
  3. Waziri wa Nchi, Menejimenti ya Utumishi wa Umma - Hawa Ghasia
  4. Ofisi ya Makamu wa Rais Waziri anayeshughulikia Muungano - Samia Suluhu Hassan
  5. Waziri wa Nchi Mazingira - Dk. Therezia Luoga-Kovisa
  6. Ofisi ya Waziri Mkuu, Waziri wa Nchi wa Sera Uratibu na Bunge - William Lukuvi
  7. Waziri wa Nchi, Uwekezaji na Uwezeshaji - Maria Nagu
  8. Waziri wa Nchi, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa - George Mkuchika
  9. Naibu Waziri Tawala za Mikoa - Aggrey Mwanri
  10. Naibu Waziri wa Elimu, Masuala ya Elimu - Kassim Majaliwa
  11. Waziri Wa Fedha - Mustapha Mkullo
  12. Naibu Waziri Wizara ya Fedha (i) - Gregory Theu
  13. Naibu Waziri Wa Fedha (ii) - Pereira Silima
  14. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi - Shamsi Vuai Nahodha
  15. Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nch- Balozi Khamis Sued Kagasheki
  16. Waziri wa Katiba na Sheria - Selina Kombani
  17. Waziriwa Mambo ya Nje - Bernard Membe
  18. Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje - Mahadhi Juma Mahadhi
  19. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa - Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi
  20. Waziri wa Maendeleo ya Mifungo - Dk. Mathayo David Mathayo
  21. Naibu Waziri Wizara ya Maendeleo ya Mifungo - Benedict Ole Nangoro
  22. Waziri Wizara ya Mawasiliano Sayansi ya Teknolojia -  Profesa Makame Mnyaa M'barawa
  23. Naibu Waziri Wizara ya Mawasiliano Sayansi ya Teknolojia - Charles Kitwanga (almaaruf Mawe Matatu)
  24. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi - Profesa Anna Kajumulo-Tibaijuka
  25. Naibu Waziri Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi - Goodluck Ole Medeye
  26. Waziri wa Maliasili na Utalii - Ezekiel Maige
  27. Waziri Wiizara ya Nishati na Madini - William Mghanga Ngeleja
  28. Naibu Waziri Wizara ya Nishati na Madini - Adam Kighoma Ali Malima
  29. Waziri Wizara ya wa Ujenzi (Barabara na Viwanja vya Ndege) - John Pombe Magufuli
  30. Naibu Waziri Waziri Wizara ya wa Ujenzi - Dk. Harrison Mwakyembe
  31. Waziri wizara ya Uchukuzi - (Reli, Bandari, Usafiri wa Majini) - Omary Nundu
  32. Naibu Waziri Wizara ya Uchukuzi - Athuman Mfutakamba
  33. Waziri Wizara ya Viwanda na Biashara -
  34. Naibu Waziri Wizara ya Viwanda na Biashara - Lazaro Nyalandu
  35. Waziri Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi - Dk. Shukuru Kawambwa
  36. Naibu Waziri Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi  - Philipo Mulugo
  37. Waziri Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii - Dk. Haji Hussein Mpanda
  38. Naibu Waziri Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii
  39. Waziri Wizara ya Kazi na Ajira - Gaudensia Kabaka
  40. Naibu Waziri Wizara ya Kazi na Ajira - Dk. Makongoro Mahanga
  41. Waziri Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto - Sophia Simba
  42. Naibu Waziri Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto - Ummy Ali Mwalimu
  43. Waziri Wizara ya Elimu, Habari, Vijana na Michezo - Emmanuel John Nchimbi
  44. Naibu Waziri Wizara ya Elimu, Habari, Vijana na Michezo - Dk. Phenela Mukangala
  45. Waziri Wizara ya Ushirikiano Afrika Mashariki - Samuel John Sitta
  46. Naibu Waziri  Wizara ya Ushirikiano Afrika Mashariki - Abdallah Juma Abdallah
  47. Waziri Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika - Profesa Jumanne Maghembe
  48. Naibu Waziri Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika - Christopher Chizza
  49. Waziri Wizara ya Maji - Profesa Mark James Mwandosya
  50. Naibu Waziri Wizara ya Maji - Gerryson Lwenge


No comments:

Post a Comment