Powered By Blogger

Thursday, November 11, 2010

USPIKA WA BONGO NI WA AKINANA MAMA

Wanasiasa wa siku nyingi Tanzania akinana Mama Kate Kamba, Anna Makinda na Anna Abdalah wapitisha kugombea Uspika wa Bunge la Muungano.
Kamati Kuu ya CCM imependekezea majina yafuatayo kugombea Uspika:

1. Anna Makinda


2. Anna Abdallah


3. Kate Kamba


Kwa hivyo huu unakuwa mwisho wa marumbano ya Mzee wa Speed na Mzee wa Vijisenti

Source: Channel 10 News Bulletin

No comments:

Post a Comment