Powered By Blogger

Thursday, November 18, 2010

Mwanamke kucha

longestfingernails

Mwanamke kucha! Kwa wale wa kitchen party kucha huwa zina kazi yake wakati Fulani! Uongo?. Lakini hizi za huyu dada hata faida hazina zaidi ya kuwa mwanadada mwenye kucha ndefu zaidi duniani! Badala ya kuhudumia inabidi ahudumiwe!

No comments:

Post a Comment