Powered By Blogger

Friday, November 5, 2010

GHOROFA ZA UDONGO ZINAWEZEKANA!

Nyumba ya ghorofa ya udongo na kuezekwa kwa majani. Kuna wakati unahitaji kuwa na kitu tofauti na wenzako. Si kwa kuwa ni kitu kizuri sana ila tu kwa sababu unahitaji kuwa tofauti. Kwa wale wa Malinyi wanalikumbuka sana ghorofa la Fundi Balali karibu na Jineri!

No comments:

Post a Comment